Ray C Na Nandy Watupiana Matusi Mazito Mitandaoni...!

Kumetokea kuandikiana kwenye mtandao wa Instagram baada ya Mwimbaji Mkongwe Ray C kuandika na kusema hajapendezwa na kitendo cha Nandy kuimba copy ya nyimbo za Ray C kwenye Tamasha la Fiesta.
Baada ya Ray C kumuonya Nandy asiendelee tena kuimba hizo nyimbo, Nandy nae alimjibu kwa hekima na kusema kuwa hakuwa na nia mbaya na amekua akifanya hivyo kuwaenzi Wakongwe ambao ndio wamewafungulia njia.
Post a Comment