Header Ads

VIDEO: Alikiba Amtembelea mama mzazi wa Rais Magufuli nyumbani kwake wilaya ya Chato...


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali kina akiwa na kundi wametembela hospital mbali mbali na kuwaona wagonjwa , Kwa kuwa walipita chato wakaamua kumuona mama Magufuli nyumbani kwake

Kijana alikiba ni miongoni mwa wanamuziki wanaofanya vizuri na wanaotambua kazi ya muziki na umuhimu wake

VIDEO:

No comments