Bill Nass Amtwanga Za Uso Young Dee.
Mwanamuziki Billnass amejibizana na Rapper Young D kwenye comment ya post yake baada ya kupost Picha ikimuonesha anapiga mpira huku akiwa kavaa jezi ndipo Young D aka-comment kumuambia Billnass kuwa mpira hauchezwi studio kama anataka aende uwanjani au hata wacheze PS4.
Baada ya Young D kuandika hivyo nayeBillnass akamjibu kuwa PS4 akicheza yeye na Tunda inatosha na kama utakubuka Tunda na Young D waliwai kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

Post a Comment