Huu Ndio Uchawi Anaotumia Aslay Kuandika Nyimbo.
Msanii wa muziki ambaye anafanya vizuri kwa sasa, Aslay amefunguka kuzungumzia mbinu anayotumia katika kuandika ngoma zake kutokana na nyimbo zake nyingi kufanya vizuri.
Muimbaji huyo ambaye atakuwa ni mmoja kati wasanii ambao watafanya show katika Tamasha la Sport&Music Festival mkoani Mwanza, amesema katika uandishi wa ngoma zake anazingatia kuzungumzia maisha ya watu ambao anaishi nao.

Huu Ndio Uchawi Anaotumia Aslay Kuandika Nyimbo. >>> https://www.goodluckmathias.co/2018/06/huu-ndio-uchawi-anaotumia-aslay.html
ReplyDelete