
Katika Mapenzi au mahusiano ya kimapenzi kuna yule mmoja ambae kamwe huta kaa umsahau kwa raha alizokuwa anakupa hata kama mmeachana muda mrefu, Kwa Jack Woler hali ipo hivi:
"Katika mahusiano yangu yote niliyowahi kuwa nayo , ya Alikiba ndio yalikuwa the best kuliko yote"- Wolper
Nini maoni yako
Jack Wolper Ataja Jina La Star Alowahi Kumpa Raha Kitandani Kuliko Wote.>>>
ReplyDeletehttps://www.goodluckmathias.co/2018/06/jack-wolper-ataja-jina-la-star-alowahi.html?m=1