Header Ads

Uganda : Mwanaume Ajinyonga Baada Ya Kunyimwa Tendon La Ndoa Na Mkewe...!


NJERU, UGANDA: Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa majina ya Joseph Ojur mwenye umri wa miaka 52 ajiua baada ya kunyimwa unyumba na mkewe

Inaelezwa kuwa Mwanamke huyo aligoma kushiriki tendo la ndoa baada ya Mumewe kubainika ameathirika na VVU

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo

No comments