SHILOLE AFIKIRIA KUACHA MUZIKI KUTOKANA NA VIFO VYA MARA KWA MARA

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka
kuwa, suala la wasanii wa muziki kurogana linamuumiza kichwa kiasi cha
kufikiria kuachana na kazi hiyo.
Akiongea na mwandishi wetu pasipo kuwataja wabaya wake, Shilole alisema hivi sasa ‘kesi’ za wasanii kurogana zimeshika kasi kuliko siku za nyuma na anashindwa kuelewa ni kwa nini watu wanamuasi Mungu kwa kuendekeza ushirikina.
“Kwa staili hii wasanii tutazidi kupukutika, kuna wakati huwa nafikiria hata kuachana na muziki maana tunarogana na namuomba Mungu usiku na mchana

Post a Comment