Picha
za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith
William Moshi, aliye fariki kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya Soweto
jijini Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe
15.06.2013, uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013..
Post a Comment