PICHA ZA MAANDALIZI YA KILI MUSIC TOUR KIGOMA
Mafundi wakitengeneza nguzo za jukwaa
Hakuna shughuli bila sound ya maana, mtaalam kazini.
Muonekano wa jukwaa la Kikwetu kwetu
Mzigo ukiingizwa ndani kwa ajili ya watakaonunua tiketi za tamasha
Eneo litakalotumika kugawa Kili za bure kwa watakaoingia uwanja Lake Tanganyika
Nje ya uwanja tayari tiketi zimeanza kugombaniwa na wakazi wa Kigoma
Jukwaa litakalotumiwa na wasanii 12 mkoani Kigoma





Post a Comment