Header Ads

Diamond Atoa Sadaka Katika Sikukuu Hii Ya Eid

ssKupitia mtandao wa Instagram, msanii gumzo kwenye sanaa ya bongo fleva nchini, Diamond Platnumz ametoa shukrani zake za dhati kwa team yake kwa kuweza kufanikisha zoezi lake la kutoa sadaka kwa ajili ya eid ul hidaya. Msanii huyo alitoa shukrani kwa watu wake wa  Burundi , Mombasa , Dar es salaam, Zanzibar Kigoma na Rwanda pia.

No comments