Movie iitwayo Mdundiko
iliyoongozwa na Producer Timoth Conrad imefanikiwa kuchukua Tuzo katika
Tamasha la Silicon Valley African Film Festival (SVAFF) huko California,
Marekani, Movie hio imechukua Tuzo ya Achievement Narrative Film.
Mdundiko ni movie ambayo imewashirikisha wasanii magwiji kwenye uigizaji
wakiwemo Jengua, Tinno na Dokii. Pia Movie hio itashindanishwa
UK tarehe 16 Novemba 2013 kuwania tuzo ya FILAMU BORA YA ASILI
Post a Comment