WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAISHA PLUS 2014 WAINGIA RASMI KIJIJINI
Afisa
mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally
(Masoud kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus,
ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini kuanza kukabiliana
na changamoto za kuweza kupata shilingi milioni 25 za kitanzania.
Washiriki wa shindano la Mshindi wa Maisha Plus wakipewa maelekezo machache mara baada ya kuwasili kijijini kwao.
Mmoja
ya wawakilishi toka Oxfam ambao ni wadhamnini wa Maisha Plus 2014
akizungumza machache. Pembeni yake ni Afisa mtendaji wa Kampuni ya DMB
ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud kipanya).
Mkuu wa Kijiji... Mwite babu wa kaya akiwepo kuhakikisha wanakijiji wanakaribishwa kwa shangwe.
Wageni waalikwa.
Kazi
ya kujenga nyumba za kuishi washirki wa maisha plus ikiendelea... ambapo
washiriki hao walitakiwa kujenga nyumba zao za kuishi ndani ya masaa
48.
Kila mmoja anawajibika kuhakikisha kazi ya kujenga nyumba inafanikiwa.
Wadau
kutoka Oxfam wakibadilisha mawazo mara baada ya kufika katika tukio la
uzinduzi wa wawashiriki kuingia kijijini. Picha na Cathbert Kajuna wa
Kajunason Blog.
Safari ya kuelekea kijiji cha Maisha Plus imeanza rasmi... washiriki wakiwa wamebeba mabegi yao ambapo kila mmoja alibeba mzigo wake mwenyewe kwa kutembea kwa miguu umbali wa kilometa 1.5. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog. Safari ikiendelea huku washiriki wakiwa wameshachoka... wengine walitamani kughairi kuendelea na safari. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog. Wengine ilibidi wasaidiane kupeba mizigo. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog. Hakuna kuchoka, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe... Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog. Wengine waliamua kulala ili waweze kunyoosha mgongo.
Wageni waalikwa waliofika kijijini cha Maisha Plus kuangalia uzinduzi... Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

Post a Comment