Kama Una Kipaji Cha Kuimba, Kurap, Kuimba Reggae+ Zouk??? Dili Hili Hap kwa Ajili Yako
LEGENDARY MUSIC: HIP HOP &RAP STAR SEARCH
Sasa
Kampuni ya Legendary Music – Tanzania inakuletea Mpango maalum wa
kusaidia Wasanii wa miziki aina yote, lakini kwa kuanza leo tutaanzia na
Hip hop.
Sikiliza Beat hiyo https://soundcloud.com/legendary-music-tanzania/legendary-beats-1 andikia mistari halafu jirekodi ukichana juu ya hiyo beat kisha uitume katika facebook page yetuhttps://www.facebook.com/LegendaryMusicTanzania au email kwa legendarymusicinc.tz@gmail.com.

Katika Mchakato tutachagua Watu Watatu ambao tutawapa nafasi ya kurekodi bure katika studio zetu
Mfumo wa kuchagua mshindi itakuwa ni vigezo vya kiufundi wa mziki husika pamoja audio/Video clips zitakazopata likes nyingi katika page yetu.

Kwa Mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana kwa simu namba +255656157772.
Imetolewa na Legendary Music-Tanzania
Imetolewa na Legendary Music-Tanzania
Post a Comment