Header Ads

Davido (@IAMDAVIDO) amezindua rasmi mavazi yake

wpid-davido-one-of-a-kind-17
Yule msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Davido amezindua rasmi mavazi yake. Mavazi hayo yana nembo ya neno Obo, Mavazi hayo ni pamoja na Kofia na tshirt, O.B.O ndio nembo itakayokuwa inamtambulisha Davido katika biashara ya Pamba zake, hapa chini nimekuwekea picha za mavazi hayo.
dav 2 dav 3 dav 4 dav 5 dav

No comments