Header Ads

MSIMU MPYA WA #2015Dance100

11709439_1259582190722863_5647739043509160644_n
Mwaka wa nne sasa na tumeona mabingwa wakubwa wakudance walio toka kwenye mashindano haya makubwa ya dance 100%. Mabingwa kama : T – Africa, The chocolate, Wakali Sisi
Wana mpo tayari kwa kuwa mabingwa wa dance 100% mwaka 2015??? basi sasa hii ndio zamu yako….….
Jipangeni wewe na wenzio, unda kundi la watu 5 hadi 8 na muanze kupiga tizi kwa kujianda na Dance mia mia…
Kujua lini mchakato mzima unaanza, basi tupia macho yako kwenye runinga yako ya East Africa Television (EATV) na kusikiliza East Africa Radio kila siku.

CREDITS TO; DJ CHOKA

No comments