Maneno Ya Mkubwa Fella Kuhusiana Na dada alietoka Geita kuja Dar kumfata Aslay (Audio)
Siku moja iliyopita kulikuwa na Story ambayo ilisikika kiatiaka U heard
ya Clouds Fm na Soud Brown kuwa kuna mdada alikuwa akiwasiliana na Aslay
na akamwambia aje mjini amtafutie kazi, hali inavyoonyesha dada huyo
alikuwa akiwasiliana na Aslay feki katika facebook.
Leo kupitia tena u herd ya Clous FM Sound aliongea na Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band Mkubwa Fella juu ya swala hilo.
Sikiliza audio hiyo chini kusikia alichokisema mkubwa fella.
Leo kupitia tena u herd ya Clous FM Sound aliongea na Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band Mkubwa Fella juu ya swala hilo.
Sikiliza audio hiyo chini kusikia alichokisema mkubwa fella.

Wabongo wana shobo sana na hawa watoto
ReplyDelete