Picha ya Diamond Platnumz akilia kwa uchungu yazua gumzo mtandaoni!
Hit song maker wa #NANA, NASIB ABDUL aka DiamondPlatnumz amewaacha
mashabiki wake njia panda baada ya kutupia hii picha kwenye account
yake ya Instagram akionekana analia kwa uchungu sana bila kuandika nini
kisa mkasa zaidi ya kuandika neno moja "Lol!"
Lakini wengine kwa kuchunguza picha hiyo walikuja na majibu kuwa inawezekana alikuwa anaimba na wala sio kulia kama ilivyo dhaniwa na wengine.
Lakini wengine kwa kuchunguza picha hiyo walikuja na majibu kuwa inawezekana alikuwa anaimba na wala sio kulia kama ilivyo dhaniwa na wengine.

Post a Comment