Anaomba Ushauri; Mume Wake Hamfikishi Kileleni

Mimi ni msichana wa
miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa
kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba)
na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto
alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah,
nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana,
basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa
wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama
cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform
kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa
nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima
niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa
nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno
haya:
1) Huenda mume wangu
ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko
huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu
limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na
kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini
makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam"
kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo
yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi
nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar,
basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa
muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba
(1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu Udaku Blog kutafuta
kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!
Post a Comment