Penzi Kati ya Bond na Wastara Lawiva Picha wakila Denda Hii Hapa....
Mwigizaji na Mtangazaji
Bond Ameandika Maneno Haya na Kupost Picha hiyo Hapo juu Kwenye Ukurasa
Wake wa Facebook.Tunawatakia Kila la Kheri
"Siku ya Tarehe 27 mwezi wa 9 mwaka 1994 ni siku Mama yangu alinifariki na kuniacha mpweke na nikajiona kuwa sitakuwa na furaha.
Lakini tarehe hiyo
hiyo 27/09 kasoro mwaka alizaliwa binti mmoja mzuri wa ajabu mwenye sifa
nyingi nzuri ambazo kila mtanzania anazijua kuanzia kazi, upendo,
huruma, uvumilivu na ujasiri kwakweli mungu hajawahi kukosea wala
hatokosea kufanya maamuzi
Kwani humpa amtakae na humnyima amtakae na yote ikiwa ni kwa kheri zake
Asante mungu kwa kunijaalia kunipa na kumjua huyu mwanamke mzuri"

Post a Comment