Idris Sultan Akanusha Kuwahi Kutoka Kimapenzi na Wema Sepetu
Mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan
amekanusha kuwahi kutoka kimapenzi na
Wema Sepetu baada ya kuonekana kuwa
karibu zaidi katika miezi kadhaa iliyopita.
Akizungumza jana kwenye kipindi cha Mkasi
TV kinachorushwa kupitia kituo cha runinga
cha EATV, Idris alisema hajawahi kutoka
kimapenzi na Miss Tanzania huyo wa mwaka
2006 kama watu wanavyosema.
“Kwahiyo mimi nikiwa natembea na Wema
haimaanishi kuna kitu chochote kinaendelea,
rumors has nothing,” alisema Idris.
Pia Idris alieleza anawezaje kuwa karibu na
Ommy Dimpoz, Diamond pamoja na Wema
Sepetu wakati wasanii hao hawaelewani.
“Kiukweli ni ngumu lakini hawa ni watu
ambao mimi nawahitaji kwenye maisha
yangu bila kujali sijui kama wao wananihitaji,
ni watu ambao walininspire,” alisisitiza

Post a Comment