#Instagram wiki hii… hizi ndio picha 17 bora za wasanii na matukio!
Wiki hii kwenye matukio ya picha Instagram, Kanye West alionekana na Vic Mensa kwenye tamasha la Summer Ends Music Festival, Nas alionekana akipokea tuzo kutoka Chuo cha Havard, rapper Rick Ross alionekana akispend time na mchuma wake… wengine kama P Diddy walionekana wakila good life kwa kubadilisha ndege binafsi, Meek Mill na mpenzi wake Nicki Minaj walionekana wenye furaha wakiwa pamoja kwenye matukio mbalimbali.
Inawezekana baadhi ya mastaa niliowataja hapo juu unawafuatilia kwenye Instagram… lakini
kama hupati time ya kutosha ya kufuatilia matukio yao mbalimbali,
karibu ufidie kwa kuzicheki hizi picha 17 za wasanii wa HipHop Marekani na matukio yao wiki hii kwenye Instagram.
Young Thug & Jaden Smith (Caption:YOUNG THUGS WORDS What you say LIL BRO?? @christiaingrey Photo by @beelbe)
50 Cent & Usher (Caption: I ran into USHER tonight we had a chance to kick it a little bit. EFFENVODKA FRIGO SMSAUDIO)
Rapper
Fabolous (Caption: One of the key’s to longevity is being able to
weather the storms… Shot by @kodaklens CoorsLightStageSnow CLreFresh
Charlotte YoungOG)
Post a Comment