Picha: Birthday Party ya Wema Sepetu
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Wema Sepetu ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie alifanya Party yake Novemba 1, 2015 akawaalika mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.
.Wema
Sepetu amenunua hili gari jipya aina ya Range Rover na kulitambulisha
mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.
.Mwigizaji
Wema Sepetu akiwaonesha gari lake jipya aina ya Range Rover watu
mbalimbali waliohudhuria birthday party iliyofanyika jana Novemba 1,
2015.
SOURCE; MILLARD AYO
Post a Comment