Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Wema Sepetu ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie alifanya Party yake Novemba 1, 2015 akawaalika mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana. SOURCE: MILLARD AYO
Post a Comment