BREAKING NEWS: DIAMOND amepanga kumsaini RICH MAVOKO chini ya label yake ya Wasafi ‘WCB’
Rich mavoko mara ya mwisho
nilikuwa natakiwa nimsaini wasafi, Rich mavoko alitakiwa awe signed
wasafi kabla ya nyimbo yake hii kutoka, ilitakiwa ikitaka awe chini ya
wasafi, lakini kuna vitu vilichelewesha kwasababu kulikuwa na project
namalizia kwanza,” Diamond aliiambia Ayo Tv “Nikamwambia,
alikuwa anazungumza na uongozi wangu, kwahiyo wakamwambia kwasababu
ishafika time unatakiwa utoe wimbo basi itoe tu hii nyimbo alafu then
after hapo ikiwezekana kuanzia next project ndo anaweza akawa anatoa
nyimbo akiwa chini ya wasafi.” Alielezea.
Hadi sasa waanii ambao wapo chini ya label hiyo ni pamoja na Harmonize na Raymond.
SOURCE: http://teamtz.com
Post a Comment