Header Ads

Zari Akataa Kuitwa Mzee Na Kudai Yeye Ni Mrembo

Shemeji wetu wa kiganda kupitia msanii wetu wa hapa Diamond Platnumz. "zari the boss lady " ametoa jibu kwa watu waiokuwa wanatupia maneno na kumuita yeye ni mzee. Bongohotz imekuwekea jibu la kashfa hiyo ambapo zari alijibu....
‘’Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona mrembo sana,’’Alisema Zari.
   

No comments