Header Ads

Soma Hapa | Sababu Zilizofanya Kipaji Cha Soka Cha Mwanamuziki ALIKIBA Kupotea

 
Ali kiba tangu akiwa mdogo alikuwa na ndoto za kuwa mchezaji mpira maarufu Bongo.
‘’Sababu ilikuwa wimbo wangu wa Cindelela ulikuwa umehit ikabidi niachane na mpira nikaanza kupiga hela Tanzania nzima nikazunguuka,lakini kwenye mpira nilikuwa katika form,nikashindwa kuendelea nilikosa muda kabisa wa kucheza mpira,’’Kiba.

No comments