Header Ads

Huyu Ndiye mwanafunzi wa kike namba mbili kwa form four Mwenye asili ya china


Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne Feza Girls 2015 , Mtanzania mwenye asili ya China, Congcong Wang,ameshika Nafasi ya pili Kitaifa ,amepata Divisheni 1.7 yenye 'B' ya Kiswahili!
Nini maoni yako?

No comments