Majanga..! Wazika Maiti Isiyo Yao Na Kuifufua
March 14 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea
Hekaheka iliyotokea Tanga hii ni baada ya ndugu kuchanganya Maiti
katika Hospitali ya Bombo, Tanga, wakwanza kuchukua mwili wa marehemu
walishamfanyia taratibu za mazishi na kuzika, ndipo badae walipo
lazimika kufukua mwili baada ya kugundua siyo ndugu yao.
‘Maeneo ya Mikanjuni kulitoke msiba wa mzee aliyefahamika kwa jina la
mzee Mhina ndipo walipompeleka kumuifadhi katika Hospitali ya Bombo, na
kesho yake saa nne tulienda kuchukua maiti yetu kwa ajili ya kwenda
kuzika tulifanikiwa kuzika lakini badae uongozi wa Bombo ulifika na
kutuambia ile maiti sio yetu‘>>> Mkazi
‘Aliyeenda kuchukua mwili wa marehemu Hospitali ni Baba Mdogo, kuuosha
pia alisismamia yeye baba mdogo na walivyorudi nyumbani baba mdogo
alikata watoto wasione maiti ya baba yao mwisho wa siku ili bidi tufukue
tuwape mwili wao na sisi tuchukue mwili wetu‘>>>Shuhuda
Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ
Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ
Post a Comment