Bayern Munich Yapigwa Kipigo Kitakatifu na Atletico Madrid Fainali za UEFA
Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya hatua ya nusu fainali
imeendelea tena jana, Atletico Madrid wakipata ushindi dhidi ya Bayern
Munich katika dimba la Vicente.
Atletico walichomoza na ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Saul Niguez.
Timu hizo zitarudiana tena wiki ijayo ikiwa ni mchezo wa mwisho kuweza kumpata mshindi atakayecheza hatua ya fainali ya michuano.

Post a Comment