Header Ads

Mkongwe Wa Muziki Kutoka Kongo 'Papa Wemba' Afariki Dunia


 Koffi 3
Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Papa Wemba amefariki Jumapili hii.

Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast baada ua kuugua. Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)
Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 66.

No comments