Header Ads

Nuh Mziwanda: Miaka mitatu ya kuwa na Shilole imenipoteza mambo mengi

Nuh Mziwanda amedai katika miaka mitatu aliyokuwa na uhusiano na Shilole amepoteza mambo mengi.
13258956_1620055491649122_1622452524_n
Akiongea na Bongo5 Nuh amesema hakuna zaidi anachokumbuka kwenye uhusiano huo zaidi ya majuto.
“Kuna vitu muhimu sana ambavyo nimegundua ningeweza kuvifanya na ningekuwa nipo mbali sana,” amesema Nuh. Muimbaji huyo amesema uhusiano huo ulimfanya auchukulie poa muziki na hivyo kushindwa kutengeneza hit song.

No comments