Kumbe dili la $400m alilodai Soulja Boy amesaini ni ‘changa la macho’
Kwa dili la dola milioni 400 alilodai kusaini Soulja Boy, angeingia moja kwa moja kwenye orodha ya rappers tajiri duniani.

Lakini huenda yote hayo yakawa changa la macho tu, kwa mujibu wa ripoti mpya. Kampuni ya World Poker Fund Holdings ilidaiwa kumpa dili la ubalozi wenye thamani hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Lakini Forbes waliamua wao wenyewe kuchunguza na kugundua kuwa kiasi hicho alichokisema Soulja kupewa ni uongo mtupu. Msemaji wa kampuni hiyo alisema kampuni hiyo ina thamani ya dola milioni 51.8 hivyo kumpa ubalozi wenye thamani ya dola milioni 400 ni ndoto.
“He really kind of jumped the gun,” Matthew Bird, msemaji wa kampuni hiyo aliimbia Forbes. “The deal is capped at $400 million, and it’s based on a forward-thinking valuation of the company. He’s young, he’s 25 years old. He got really excited, and he tweeted something he probably shouldn’t have tweeted. He was getting a lot of pressure from within the entertainment community, so he wanted to put a statement out,” alisema Bird.
“Obviously, the company’s market cap is at $51.8 million. There’s no way they could cut a $400 million deal. Endorsement deals are calculated on a lot of different factors. This is not a fully cash transaction.”

Post a Comment