Alikiba Atajwa Kuwania Tuzo za MTV EMA 2016..Diamonda Aachwa Mwaka Huu
Anakuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kutajwa kuwania kipengele
hicho. Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa
Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mshindi katika hatua ya kwanza ataendelea kwenda kuwania kipengele cha Worldwide Act: Africa/India ambacho mwaka jana alishinda Diamond Platnumz
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mshindi katika hatua ya kwanza ataendelea kwenda kuwania kipengele cha Worldwide Act: Africa/India ambacho mwaka jana alishinda Diamond Platnumz

Post a Comment