Dk. Shika Amtambulisha Msanii Wake, Adai Atafunika Wasanii Wengi.
Dk. Shika leo, Juni 8, 2018 katika Mkutano wake na Waandishi wa habari
amemtambulisha Msanii wake mpya atakaye kuwa anamsimamia katika zake za
muziki aitwaye Godson ambaye pia ametambulisha nyimbo yake mpya iitwayo
‘Relux’.
Dk. Shika katika Mkutano wake huo amesema kwa msanii yoyote atakayetaka kusimamiwa na yeye yupo tayari lakini anaanza na huyo aliyemtambulisha kwa siku ya leo.
Dk. Shika ni daktari wa magonjwa ya binadamu, aliyejipatia umaarufu miezi kadhaa iliyopita kupitia kufika dau wakati wa mnada wa Majumba ya Lugumi.

Nina uhakika kwamba atafunika wasanii wengi , kwahiyo jaribuni kumfuatilia,
amesema Dk. Shika.

Post a Comment