Video : Beka Flavour, PNC NaKayumba Wazungumza Mazito Kuhusu Kifo cha Sam wa Ukweli.
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Beka Flavour na Kayumba wamezungumza
maneno yao ya mwisho waliyoongea na marehemu Sam wa Ukweli siku chache
kabla ya umauti kumkuta.
Post a Comment