Check Hapa: Mama Aliyepewa Mimba na Mtoto wake wa Kumzaa..Adai Wako Katika Mapenzi Mazito na Wameamua Kuoana
Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe
na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao
wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka uhusiano wao kwenye
level nyingine ya ndoa huku tayari mama huyo akiwa na ujauzito wa miezi
sita aliopewa na mwanae.
Embu tuambie, unadhani dunia inaelekea wapi?
Embu tuambie, unadhani dunia inaelekea wapi?

Post a Comment