Header Ads

Zari Afikisha Followers Mil 4 Instagram, Aomba Kila Mtu Amchangie Dola Moja.


From @zarithebosslady - Wapendwa wangu Sina cha Kuwalipa Zaidi ya kusema ASANTENI sana kwa 4M followers.

Ninyi Ni Ma Ndugu kwangu, Mmekua Nami Bega Kwa Bega Kwenye Shida na Raha. Sasa Mnichiangieni $1 kila mtu tujenge clinic ya wanawake sehemu yoyote dar, Najua tukiipata Baba Magufuli atatupa kiwanja....😁😁 #JustSaying
PENDA SANA NYINYI.❤
THANK YOU SO MUCH FOR 4M. 
LOVE YOU ALL🌹

No comments